Christ Our Standard Agape Ministries.

Welcome to our library and resources section! Here you will find a variety of materials to help you in your personal and spiritual growth. We have books, articles, videos, and more available for you to check out and use. We hope that you will find these resources helpful and informative.


Makala Za Kiswahili


SHERIA ZA UBUNIFU WA MUNGU
SHERIA ZA UBUNIFU WA MUNGU
Tim R. Jennings, MD Jan 22, 2026

Sheria za Ubunifu wa Mungu Sheria za Ubunifu wa MunguUnapotafuta neno ‘sheria’ katika kamusi, mara nyingi utakuta zaidi ya tafsiri 20 tofauti, lakini kwa jumla zinagawanyika katika makundi mawili...

JINSI YA KUFANYA UTENDAJI WA MEMA KUWE RAHISI KULIKO UTENDAJI WA MABAYA
JINSI YA KUFANYA UTENDAJI WA MEMA KUWE RAHISI KULIKO UTENDAJI WA MABAYA
Tim R. Jennings, MD Jan 13, 2026

JINSI YA KUFANYA UTENDAJI WA MEMA KUWE RAHISI KULIKO UTENDAJI WA MABAYA  Hivi karibuni nilisoma yafuatayo katika mwongozo fulani wa somo la Biblia:Kila mzazi anajua kwamba watoto wao hujifun...

JE, NI UTII WA IMANI AU WA SHERIA?
JE, NI UTII WA IMANI AU WA SHERIA?
Tim R. Jennings , MD Jan 12, 2026

Wana wa Israeli walipokaribia mwisho wa miaka yao 40 ya kutangatanga jangwani na walipokuwa karibu kuingia Kanaani, Yoshua aliyekuwa akiwaongoza alipokea ujumbe ufuatao kutoka kwa Mungu:Uwe hodari tu...

KUWA MWAMINIFU KWA MUNGU—TUNAFANYAJE HILI?
KUWA MWAMINIFU KWA MUNGU—TUNAFANYAJE HILI?
Tim R. Jennings , MD Jan 12, 2026

Kama tungeweza kurudi nyuma katika historia na kumhoji Sauli wa Tarso kabla ya tukio lake la barabarani Dameski, na tukamuuliza, wakati anawatesa Wakristo, “Sauli, je, unakuwa mwaminifu kwa Mungu na a...

Tumtazame yesu Kristo
Tumtazame yesu Kristo
Tim R. Jennings , MD Jan 12, 2026

Biblia inatuongoza kusema:“Tumtazame Yesu aliyeanzisha na anayekamilisha imani yetu. Yeye, kwa ajili ya furaha iliyowekwa mbele yake, alivumilia kifo cha msalaba bila kujali aibu, na sasa ameketi...

KAMA UNGEKUWA MYAHUDI MWAMINIFU MIAKA  2,000 ILIYOPITA
KAMA UNGEKUWA MYAHUDI MWAMINIFU MIAKA 2,000 ILIYOPITA
Tim R. Jennings , MD Jan 12, 2026

Kama ungekuwa Myahudi mwaminifu mwaka wa AD 27, ungekua umeamini nini? Ungekuwa unamwamini nani? Ungeweka uaminifu wako wapi?Maisha yako yote, ungekuwaumefundishwa na wazazi wako, walimu, na makuhani...

WATU WA NDANI, WATU WA NJE, NA MPANGO WA  MUNGU KWA MAISHA
WATU WA NDANI, WATU WA NJE, NA MPANGO WA MUNGU KWA MAISHA
Tim R. Jennings , MD Jan 12, 2026

Hivi karibuni, msikilizaji mmoja mtandaoni alituma maswali yafuatayo:Je, watu huwa aidha watu wa ndani au watu wa nje? Je, wewe ni mmoja kati ya hao? Yesu alikuwa nani kati ya hao? Je, unaweza kuwahud...